Monday, July 28, 2014
PROF JAY AKIZUNGUMZIA UJIO WA NGOMA YAKE MPYA "3 CHAFU"
Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva toka miaka ya Tisini Prof Jay anatarajia kuachia mkwaju wake mpyaa wiki hii ambo ameupa jina la 3 Chafu, yaani maana yake amechanganya ladha tatu utamsikia Nigga J yule ambaye alikuwa kwenye kundi la hard blasters na kupika mkwaju kama Chemsha Bongo ambayo ilibadilisha upepo wa muziki wa Bongo Fleva,
J Husle ni yule underground ambaye alikua akitatufa nafasi ya kukaa kwenye chat, na Prof jay na huyu wa sasa ambaye anatembea angani muda mrefu kuliko aldhini, kaa tayari kwa ujio mpya wa Prof jay Feat J Husle & Nigga J katika 3 Chafu

Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment